Become an Innovation Partner

Je wewe ni Chuo, taasisi, mfanya Biashara wa maji au mjasiriamali unayetazamia matumizi ya teknolojia ili kukupatia maji safi na salama kwa bei nafuu?

Majicom inafungua shughuli za kibiashara mwaka 2022. Tunatafuta washirika wabunifu tutakaofanya nao kazi katika kutekeleza mbinu mpya ya kiteknolojia ya kujipatia maji safi na salama


Are you a university, institution, water vendor or entrepreneur looking to use new technology to provide sustainable and affordable water?

Majicom is launching commercial operations in 2022. We're seeking our first innovation partners who will work with us to implement a new approach to water.

Register here to book a consultation with our team to see if we can design a Majicom water system for you.

 
20200227_0097 (2).jpg
Artboard Copy 9.png

For general enquiries please contact us at contact@majico.org